Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
Chief naomba nitumie hii song, nimejaribu kudownload kwa YouTube nimeshindwa, pls.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anataka tufukue makaburi?Uko na shida mahali, na ni mwepesi wa kusahau sana.
Mbona watu walilia na wewe sana hapa ulipofiwa,ulipokuwa unauguza je wale wanaume wote walikukula?
Wanasemaga umri unaendana na hekima lakini mbona umekosa hata robo ya hekima?
Anataka tufukue makaburi?
Kuna kitu kitakuwa kimemtatiza na kwa coment ile atakuwa amepata relief.....si Aina yake ya uchangiajiUko na shida mahali, na ni mwepesi wa kusahau sana.
Mbona watu walilia na wewe sana hapa ulipofiwa,ulipokuwa unauguza je wale wanaume wote walikukula?
Wanasemaga umri unaendana na hekima lakini mbona umekosa hata robo ya hekima?
anataka kututendesha dhambi bure tuNaona uzalendo umekushinda 😅😅😅😅😅😅
Hahhahahahhaa umenichekesha sana Oddoanataka kututendesha dhambi bure tu
Kuna kitu kitakuwa kimemtatiza na kwa coment ile atakuwa amepata relief.....si Aina yake ya uchangiaji
Yani halafu kusudi kabisa.Aliuliza siku ya kuaga eti akifika kanisani muhimbili akiulizia msiba wa warumi ataonyeshwa?akakomaa pia tuweke picha.
Sikujibu kutokumvunjia heshima.
Lakini leo yeye kaja kumvunjia heshima odo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]anataka kututendesha dhambi bure tu
Mimi nadhani alikuwa anatania..ila tu namna alivyowasilisha imeleta utata.Yani halafu kusudi kabisa.
Wafanye watu wengine ambao hawajui JF tuliishi vipi zamani.
Huyu?
Wa kushangaa mimi kuwa attached na emotional na kifo cha Warumi?
Nimemshangaa kwa kiwango cha ajabu sana.
Kwamba Warumi alinikula ndo mana namuomboleza?
Ahahahhahahahhah
Maisha yana mambo mengi sana lakin.
Huwezi jua, labda ana lingine alilokuwa analitaftia mahali pa Kuvent her anger on me.
Pengine ilimsaidia kujiskia poa.
Mimi nadhani alikuwa anatania..ila tu namna alivyowasilisha imeleta utata.
Sidhani kama yupo serious na hiyo comment.
Kama yupo siriaz basi atakuwa amenidisappoint sana maana ni moja kati ya dada/mama ninayemuheshimu sana hapa jukwaani.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3]Weee Saint Anne utani gani wa kuvunjiana heshima?