TANZIA Mwanachama na mfanyakazi wa JamiiForums, Dotto Mnzava afariki dunia kwa ajali ya pikipiki

Status
Not open for further replies.
...shocking sadness!
...R.I.P. Dotto.
...Gone too soon��
 
M.A.P Dotto Mnzava Udongo umemeza Wengi "kilamana maangaiko wema hawana maisha."
 
Last edited by a moderator:
Mungu na awafariji ndugu, jamaa na marafiki katika kipindi hiki kigumu.
 
Jana nikiwa natokea airport nilipitia barabara ya Mandela road na nilipofika maeneo ya Mabibo Hostel niliona mwili wa mtu ukiwa barabarani ukiwa na hali mbaya sana kwani ulikuwa umesagwa sagwa na malori mawili yaliyokuwa na mizigo.

Kwa kifupi...yule mtu aliyefia pale barabarani alikuwa kama chapati kwa jinsi alivyosagwa na malori hayo ambayo inasemekana yalimpitia marehemu huyo kwa juu na kuanza kumburuza...lori la kwanza lilianza na lingine likafuatia.

Ni tukio baya kuwahi kulishuhudia kwa macho yangu katika maisha yangu. Sijui kama hii ajali inamuhusu huyu ndugu Dotto Mnzava ama lah.
 
Poleni sana wafiwa. Mungu awape wepesi.
Pumzika kwa amani kaka.
 
Mwenyenzi Mungu akujaalie mawaa mazuri uendako ndugu yetu upumzike kwa amani.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…