TANZIA Mwanachama na mfanyakazi wa JamiiForums, Dotto Mnzava afariki dunia kwa ajali ya pikipiki

TANZIA Mwanachama na mfanyakazi wa JamiiForums, Dotto Mnzava afariki dunia kwa ajali ya pikipiki

Status
Not open for further replies.
Poleni wafiwa, Mungu awatie nguvu na uvumilivu!!
Pole sana Max kupoteza kijana wako!!
RIP Doto Mzava!!
 
....R.I.P mwana JF ..sasa Msiba uko wapi..watu wakawafariji wafiwa?..RATIBA zingine za MAZISHI zingewekwa kama ziko TAYARI..
 
R.I.P Dotto Mzava pumzika mahali pema peponi Amiiiina
 
Tangulia kwa amani ndg, safari ni moja ila imekupasa kuwahi sasa.
 
Mungu ampumzishe kwa amani na tunawapa pole ndugu jamaa na marafiki waliofikwa na msiba huu mkubwa.

Jamani tujue bodaboda siyo chombo salama kusafiria haswa unapokuwa na haraka. hapa arusha tumepoteza watu wengi wakiwapo vijana wawili wa chuo cha Uhasibu
 
R.I.P DOTTO MNZAVA...inasikitisha sana jamani!
 
Kwa mwenye uzi wa mwisho wa marehemu aweke link hapa pls! Iwe kama kumfahamu zaidi kwa ambao tulikuwa hatumjui,

Rest in peace the departed Soul
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom