TANZIA Mwanachama na mfanyakazi wa JamiiForums, Dotto Mnzava afariki dunia kwa ajali ya pikipiki

TANZIA Mwanachama na mfanyakazi wa JamiiForums, Dotto Mnzava afariki dunia kwa ajali ya pikipiki

Status
Not open for further replies.
Its so sad to lose such a young, and hard working guy.. May God give strengths to the bereaved family
 
It's so sad to lose such a young and hardworking guy. Our souls are with the bereaved family and may God give them strength to overcome this grief
 
Mungu ampumzishe kwa amani na tunawapa pole ndugu jamaa na marafiki waliofikwa na msiba huu mkubwa.

Jamani tujue bodaboda siyo chombo salama kusafiria haswa unapokuwa na haraka. hapa arusha tumepoteza watu wengi wakiwapo vijana wawili wa chuo cha Uhasibu

Mkuu, kufa hakuna breki. Wakati mwenzetu amefariki na bodaboda wapo wengine waliofika salama...
Ni wakati wa huzuni, sio wakati wa kusema ingekuwa hivi ingekuwa vile.
 
Dotto alinishika mkono kuingia kwenye kona hii, dotto ni zaidi ya Mwalimu wangu alinitoa ofu juu ya matumizi ya jamiiforum. Dotto umetangulia pumzika kwa amani,itachukua muda kukusahau. Pole familia Dotto mungu awaongezee faraja na moyo wa Subira katika kipindi hii kigumu kwenye familia yenu.
 
Uwiiiiiiiii my Dotto jamani!
Nashindwa hata niseme nini....
R.I.P[emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
R.I.P Doto mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom