TANZIA Mwanachama na mfanyakazi wa JamiiForums, Dotto Mnzava afariki dunia kwa ajali ya pikipiki

TANZIA Mwanachama na mfanyakazi wa JamiiForums, Dotto Mnzava afariki dunia kwa ajali ya pikipiki

Status
Not open for further replies.
nimeshindwa kuelewa Mungu ana makusudi gani ya kumuchukua huyu kijana ambaye alikuwa mwema sana aliyekuwa anajali na muwajibikaji sana aiseee sina la kusema zaidi nimpe Mungu utukufu

RIP Dotto Mnzava
 
Last edited by a moderator:
Dotto Pumzika kwa amani
Njia yetu wote na kila mmoja kwa wakati wake ataipita
Umetutangulia ila umetuachia majonzi sana
Raha ya Milele umpe Eeh Bwana na Mwanga wako ukawe katika njia yake.
 
Mara nyingi nikisikia Msabato kafa sisikitiki hususani ukute ni muumini mzuri.

Jibu ni moja, ametwaliwa kwenda mbinguni.
 
Bowlibo! Hakuna anayetwaliwa kwenda mbinguni,wote wanaokufa tunawafukia kaburini hadi kuja kwa Yesu mara ya pili,hili halina Msabato na asiye msabato,wote tunafukia kaburini
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom