TANZIA Mwanachama na mfanyakazi wa JamiiForums, Dotto Mnzava afariki dunia kwa ajali ya pikipiki

TANZIA Mwanachama na mfanyakazi wa JamiiForums, Dotto Mnzava afariki dunia kwa ajali ya pikipiki

Status
Not open for further replies.
nimeshindwa kuelewa Mungu ana makusudi gani ya kumuchukua huyu kijana ambaye alikuwa mwema sana aliyekuwa anajali na muwajibikaji sana aiseee sina la kusema zaidi nimpe Mungu utukufu

RIP Dotto Mnzava

Pole sana mamie kwa majonzi uliyonayo, hakika hakuna anayeweza kuhisi kiwango cha maumivu uliyonayo. Wewe kama Mkristo hupaswi kulaumu kazi ya Mungu maana hujui kusudi lake ni nini kuruhusu mja wake kupumzika. La zaidi ni kujipa moyo kupitia maandiko matakatifu na kujitafakari njia zetu.

Pole once again...
 
Last edited by a moderator:
Mara nyingi nikisikia Msabato kafa sisikitiki hususani ukute ni muumini mzuri.

Jibu ni moja, ametwaliwa kwenda mbinguni.

Hapana

Kulingana na Imani ya kiadventista mtu akifa hajui neno lolote
Mpka hukumu ya mwisho itakapotolewa Siku ya mwisho ndipo walio wema watakapokwenda mbinguni..
 
Ndugu zangu, bodaboda ni usafiri hatari sana japo unapendwa na watu wengi.

Majuzi nimenusulika kifo cha bodaboda kwa uzembe wa dereva. Madereva wa bodaboda wana mapungufu makubwa sana kupanda badaboda kwenye Highway au Main road ni hatari sana.

Kweli kabisa
 
Hapana

Kulingana na Imani ya kiadventista mtu akifa hajui neno lolote
Mpka hukumu ya mwisho itakapotolewa Siku ya mwisho ndipo walio wema watakapokwenda mbinguni..

Daah, Umenikatisha tamaa, basi ngoja niamini Dotto atafufuliwa kumlaki bwana mawinguni.

But,..... nakumbuka kitu kama Yesu alimwambia mmoja wa wanyang'anyi waliosulubiwa naye kwamba usiku huo atakuwa naye peponi,....basi ngoja niamini Dotto yuko peponi hayo mengine tusubiri hapo baadaye (natengua imani ya paragraph ya kwanza)
 
Hapana

Kulingana na Imani ya kiadventista mtu akifa hajui neno lolote
Mpka hukumu ya mwisho itakapotolewa Siku ya mwisho ndipo walio wema watakapokwenda mbinguni..

Luke 23:43 "Yesu akamwambia amini nakuambia leo hivi utakuwa nami peponi" ...Apumzike kwa amani ndugu yetu Dotto Mzava

Cc bowlibo
 
Last edited by a moderator:
RIP Mnzava,
Poleni ndugu, jamaa na wote tulioguswa na msiba huu!
 
asante sana ndugu yangu acha nijifariji kwa maneno Ya Mungu ipo siku tutaonana paradiso na dotto
Pole sana mamie kwa majonzi uliyonayo, hakika hakuna anayeweza kuhisi kiwango cha maumivu uliyonayo. Wewe kama Mkristo hupaswi kulaumu kazi ya Mungu maana hujui kusudi lake ni nini kuruhusu mja wake kupumzika. La zaidi ni kujipa moyo kupitia maandiko matakatifu na kujitafakari njia zetu.

Pole once again...
 
R>I>P Dotto-Mungu ndiye mpangaji akipenda inakuwa!
Bwana awape nguvu Ndugu ,jamaa,marafiki na wapendwa wote kipindi hiki kigumu cha Majonzi.
 
Too young to go Dotto......
Poleni familia yake, poleni familia ya JF
Rest In Peace Dotto
 
Wapendwa wana Jf, ni masikitiko makubwa kuwajulisha kifo cha member mwenzetu hapa Jf Dotto Mnzava kilichotokea leo mchana saa 8 baada ya kupata ajari ya Pikipiki maeneo ya Victoria jijini Dar.

Mwili wa marehemu umehifadhiwa ktk hospital ya mwananyamala kusubiri taratibu zitakazofata.

Pumzika kwa amani rafiki yangu Dotto.

naomba update ya kinachoendelea kwa msiba nw !
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom