CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
nimeshindwa kuelewa Mungu ana makusudi gani ya kumuchukua huyu kijana ambaye alikuwa mwema sana aliyekuwa anajali na muwajibikaji sana aiseee sina la kusema zaidi nimpe Mungu utukufu
RIP Dotto Mnzava
Pole sana mamie kwa majonzi uliyonayo, hakika hakuna anayeweza kuhisi kiwango cha maumivu uliyonayo. Wewe kama Mkristo hupaswi kulaumu kazi ya Mungu maana hujui kusudi lake ni nini kuruhusu mja wake kupumzika. La zaidi ni kujipa moyo kupitia maandiko matakatifu na kujitafakari njia zetu.
Pole once again...
Last edited by a moderator: