Mungu ampumzishe kwa amani na tunawapa pole ndugu jamaa na marafiki waliofikwa na msiba huu mkubwa.
Jamani tujue bodaboda siyo chombo salama kusafiria haswa unapokuwa na haraka. hapa arusha tumepoteza watu wengi wakiwapo vijana wawili wa chuo cha Uhasibu