CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
nimeshindwa kuelewa Mungu ana makusudi gani ya kumuchukua huyu kijana ambaye alikuwa mwema sana aliyekuwa anajali na muwajibikaji sana aiseee sina la kusema zaidi nimpe Mungu utukufu
RIP Dotto Mnzava
Mara nyingi nikisikia Msabato kafa sisikitiki hususani ukute ni muumini mzuri.
Jibu ni moja, ametwaliwa kwenda mbinguni.
Poleni sana
...Mambo ?...Pole ila ahsante kwa kuwakilishaKwa bahati mbaya camera yangu leo haifanzi kazi...
Ndugu zangu, bodaboda ni usafiri hatari sana japo unapendwa na watu wengi.
Majuzi nimenusulika kifo cha bodaboda kwa uzembe wa dereva. Madereva wa bodaboda wana mapungufu makubwa sana kupanda badaboda kwenye Highway au Main road ni hatari sana.
Hapana
Kulingana na Imani ya kiadventista mtu akifa hajui neno lolote
Mpka hukumu ya mwisho itakapotolewa Siku ya mwisho ndipo walio wema watakapokwenda mbinguni..
Hapana
Kulingana na Imani ya kiadventista mtu akifa hajui neno lolote
Mpka hukumu ya mwisho itakapotolewa Siku ya mwisho ndipo walio wema watakapokwenda mbinguni..
Pole sana mamie kwa majonzi uliyonayo, hakika hakuna anayeweza kuhisi kiwango cha maumivu uliyonayo. Wewe kama Mkristo hupaswi kulaumu kazi ya Mungu maana hujui kusudi lake ni nini kuruhusu mja wake kupumzika. La zaidi ni kujipa moyo kupitia maandiko matakatifu na kujitafakari njia zetu.
Pole once again...
Wapendwa wana Jf, ni masikitiko makubwa kuwajulisha kifo cha member mwenzetu hapa Jf Dotto Mnzava kilichotokea leo mchana saa 8 baada ya kupata ajari ya Pikipiki maeneo ya Victoria jijini Dar.
Mwili wa marehemu umehifadhiwa ktk hospital ya mwananyamala kusubiri taratibu zitakazofata.
Pumzika kwa amani rafiki yangu Dotto.
naomba update ya kinachoendelea kwa msiba nw !