Lala Salama Dotto, hii ndio njia ya kila mmoja! Sisi tuliobaki tufarijiane kwa maneno haya!...
--------------------------------
[h=1]Ayubu 14[/h]1 Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke Siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu.
2 Yeye huchanua kama vile ua, kisha hukatwa; Hukimbia kama kivuli, wala hakai kamwe.