assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
Amefanya nini huyo mnyalu?
Tanzania ya leo inashangaza sana!🤔🤔🤔Ndiye aliyeshinda uchaguzi lakini hakutangazwa. Hiyo aliyetangazwa na NEC ana ghubu na hapati ushirikiano kwa wananchi, hivyo anadhani huyo jamaa ndio anamuhujumu kwakuwa ndio mwenye ushawishi kwa watu. Hivyo anamuagiza RPC amkamate ili kumjengea hofu akimbie hapo Iringa. Ni sawa na ww umpore mtu mwanamke, kisha uone mwanamke hakupendi sana, uanze kumfanyizia mpenzi wake wa kweli, maana unahisi kwakuwa jamaa yuko bado hapo mtaani ndio maana hakupi penzi lote ww.
Ushauri;mnapotoa taarifa kama hizi kwa jamii ni vema kama ungekuw mnaweka sababu ya kukamatwa,na nini sababu ya kunyimwa dhamana kwa mtuhumiwa.
Aidha bila kufanya hivyo habari hizi zitaonekana kama za kishabiki jambo ambalo halina afya kwa ustawi wa taifa.
#jr
Hilo la rufaa mtasubiri sana na Mahakama zenu mlizoandaa ili ionekane wapinzani wameshindwa hata mahakamani. Hakuna wa kuwaletea hela ya bure.Huhitaji kutumia hakiri nyingi kujua kuwa ni habari za kishabiki.
Maana km alishinda nahakutangazwa lazima angeshakata rufaa kitambo.
Tatizo ndg zetu chadema bado mnaendereza siasa za kiuanaharakati zaidi! Maana uchaguzi ulishaisha kitambo, hatujasikia hyo myaru kupinga popote, leo unakuja na haki za binadam ndani ya uchaguzi! Hyo ni wapi na wapi??
Semeni kakamatwa kwa kosa gani! Na nilini.
Bora ifungwe mileleTwitter Hiyo bado imefungwa
Mwache aje yeye mwenyewe kulalamika hapa, wewe una lalamika ukiwa ni nani kwake? Akae tu huko gerezani kwani tuna amini hayupo huko kwa kusingiziwa, atakuwa muharifu tu. Akitoka na kuona Tanzania haimfai basi amfuate Lissu Ubelgiji akapakatwe.Leonce Marto anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa kwa maagizo ya RPC afande Bwire,hajachukuliwa maelezo,kitendo cha kushikiliwa kwa ndg Marto ni Mwendelezo mwa vitendo vya Ukandamizaji,uonevu ukiukaji wa haki za binadamu wanazofanyiwa wapizani.
Anaibuka bwege anakuambia ukate rufaa katika mazingira kama haya!Hilo la rufaa mtasubiri sana na Mahakama zenu mlizoandaa ili ionekane wapinzani wameshindwa hata mahakamani. Hakuna wa kuwaletea hela ya bure.
Haya ndiyo matokeo ya ushindi wa kishindoLeonce Marto anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa kwa maagizo ya RPC afande Bwire,hajachukuliwa maelezo,kitendo cha kushikiliwa kwa ndg Marto ni Mwendelezo mwa vitendo vya Ukandamizaji,uonevu ukiukaji wa haki za binadamu wanazofanyiwa wapizani.
Alishinda ubunge?Ndiye aliyeshinda uchaguzi lakini hakutangazwa. Hiyo aliyetangazwa na NEC ana ghubu na hapati ushirikiano kwa wananchi, hivyo anadhani huyo jamaa ndio anamuhujumu kwakuwa ndio mwenye ushawishi kwa watu. Hivyo anamuagiza RPC amkamate ili kumjengea hofu akimbie hapo Iringa. Ni sawa na ww umpore mtu mwanamke, kisha uone mwanamke hakupendi sana, uanze kumfanyizia mpenzi wake wa kweli, maana unahisi kwakuwa jamaa yuko bado hapo mtaani ndio maana hakupi penzi lote ww.
Chadema wote wanashikiliwa kwa tuhuma za uhujumu uchumi, inamaana hadi uambiwe?Ushauri;mnapotoa taarifa kama hizi kwa jamii ni vema kama ungekuw mnaweka sababu ya kukamatwa,na nini sababu ya kunyimwa dhamana kwa mtuhumiwa.
Aidha bila kufanya hivyo habari hizi zitaonekana kama za kishabiki jambo ambalo halina afya kwa ustawi wa taifa.
#jr
Huhitaji kutumia hakiri nyingi kujua kuwa ni habari za kishabiki.
Maana km alishinda nahakutangazwa lazima angeshakata rufaa kitambo.
Tatizo ndg zetu chadema bado mnaendereza siasa za kiuanaharakati zaidi! Maana uchaguzi ulishaisha kitambo, hatujasikia hyo myaru kupinga popote, leo unakuja na haki za binadam ndani ya uchaguzi! Hyo ni wapi na wapi??
Semeni kakamatwa kwa kosa gani! Na nilini.
Vaa miwani yako ya kusomea mzee, ukiona mahali nimeandika ubunge upaBold.Alishinda ubunge?