Anahazaje kukataa rufaa? wakati maelekezo ni marufuku kwa mawakala kupewa nakala zaa matokeo vituoniHuhitaji kutumia hakiri nyingi kujua kuwa ni habari za kishabiki.
Maana km alishinda nahakutangazwa lazima angeshakata rufaa kitambo.
Tatizo ndg zetu chadema bado mnaendereza siasa za kiuanaharakati zaidi! Maana uchaguzi ulishaisha kitambo, hatujasikia hyo myaru kupinga popote, leo unakuja na haki za binadam ndani ya uchaguzi! Hyo ni wapi na wapi??
Semeni kakamatwa kwa kosa gani! Na nilini.
Kaka ule ulikuwa uhalifu wa kupagwa.