Mwanachama wa CHADEMA Iringa Mjini, Leonce Marto anashikiliwa na Polisi na kunyimwa dhamana

naunga mkono hoja
 
Akikimbia si ndio mtanzuko utakuwa mkubwa zaidi hivi haya majizi ya haki za wananchi hawajui hawana legitimacy
 
Tumwombe MUNGU aiponye nchi, maana kwa mazingira haya Nchi imejaa laana. Kila mahali haki ni kama hakuna, na kuna watu wanaonewa sana. Mungu ataachaje kulaani aridhi na watu wote walio juu ya aridhi hiyo?
 
Hahaha ccm wanaitisha mikutano ya wananchi, wananchi hawatokei wakati wameshinda wao, unadhani watafanya nini zaidi ya kuwakamata makamanda wote nchi nzima?!
Hapo si ndiyo wanazidi kuharibu?Akili zao,zinawatosha wao tu,ukifuatilia hawa CCM utazeeka mapema.Sheria/Kanuni wanatunga wenyewe ila wanakuwa wavunjifu number moja.
 
Hahaha ccm wanaitisha mikutano ya wananchi, wananchi hawatokei wakati wameshinda wao, unadhani watafanya nini zaidi ya kuwakamata makamanda wote nchi nzima?!
Hilo lingekuwa jambo jema kama wananchi wangekuwa na msimamo huo uliouelezea.
 
kuna mpango umepangwa wa kuwakamata wanachadema wengi sana nchi nzima na kuwapachika kesi za uhujumu uchumi , hii ni visasi vya uchaguzi baada ya ccm kukataliwa na wananchi kote Tanzania , Shukrani zimwendee Mahera na Kaijage kwa kuandaa kizembe sana matokeo ya mfukoni hadi kuvuja dunia nzima .
 
Kuna watu wengi tu wapo mahabusu na hawajachukuliwa maelezo
Weekend wapelelezi wengi hawapo ofisini,mtu ana masaa mawili tu mahabusu,mshaanza kulia mitandaoni
 
Msitetee waovu, kuwa hicho kikundi cha mbowe siyo tiketi uadilifu
 
Huo ni umbea wako, yeye apendwe kwani ni mwanamke?
Huyo aliyechaguliwa hahitaji kupendwa anahitaji kufanya kazi aliyotumwa, kupendwa wakapendwe na wake zao.
 
Mbona sababu imeanishwa vizuri kwenye post #3 ?
Ukoloni ndo ulivyo
 

Sikia brofher, ukitaka kuitafta haki nje ya utaratibu, ujue utakumbana madhira km hayo.

Chadema walianza vizuri sana. Nawatanzania waliwapokea vzr sana, kosa walilolifanya chadema, nikuanza siasa za KUTUMIWA, ZAKIBABE,ZA KUHUJUMU NCHI, NA ZA KIUANAHARAKATI...Najuzi hapa mgombea wenu wa urais Tundu lissu kapewa tuzo ya uanaharakati bora, kwahiyo usibishie hilo, nawazungu wakati wanampa ile tuzo hakujua km walikuwa wanammaliza, hivyo CHADEMA NI WANAHARAKATI SIYO CHAMA CHA SIASA uthibitisho ni makamo mwenyekiti wao wachama na aliyekuwa mgombea wa urais 2020 ndg tundu lissu.

Hivyo chadema nyie niwanaharakati, siyo chama cha siasa,
Alivyotoka Dr w.slaa, na team yake chama kikapotea mpaka leo.
 
Wewe endelea kumlamba mapumbu basha wako Meko, hayo mengine huna uwezo nayo.
 
Mbona sababu imeanishwa vizuri kwenye post #3 ?

Ukoloni ndo ulivyo
Hivi hiyo ndio sababu ya kumkamata mtu?? Uongo na ushabiki wa kishamba utakufikisha wapi??
Siku nyingine usijaribu ku replay kama una hoja za kipumbavu kama hizi.
 

Hilo neno uanaharakati ni tafsiri ya ccm pindi wanapokutana na mwanasiasa asiyewaogopa. Waliohujumu nchi ni waliosaini mikataba ya wizi. Mwanacdm gani amewahi kusaini mkataba wowote wa raslimali za nchi hii? Kwa taarifa yako huyo Slaa mlikuwa mnaimuita mwanaharakati wakati yuko cdm, baada ya kuacha kuisulubu ccm, ndio mnampaka mafuta kwa mgongo wa chupa.

Napenda ufahamu ccm sio chama cha siasa, bali kikundi cha dola kilichojivika koti la chama cha siasa. Na kama ni wananchi kuacha kuchagua siasa za kibabe, utekaji, mauaji nk, basi ccm ndio haipaswi kuchaguliwa kwa aina ya siasa zake chafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…