Mwanachama wa CHADEMA Iringa Mjini, Leonce Marto anashikiliwa na Polisi na kunyimwa dhamana

Anahazaje kukataa rufaa? wakati maelekezo ni marufuku kwa mawakala kupewa nakala zaa matokeo vituoni
Kaka ule ulikuwa uhalifu wa kupagwa.
 
Chuki ya raia walio wengi dhidi ya serikali ya CCM inazidi kuongezeka. Wanachofanikiwa ni kudhibiti maandamano yakiwa yanaanza.

Kuna jamaa alisema kama ni maandamano tuyaanzie kwenye sherehe zao. Katikati ya sherehe mnaanza Katiba Mpyaa ni sasa. Wakiangalia Mtwara kimenuka, Dar kumepamba moto, Mbeya kumechangamka. Sijui hao FFU wao watawapeleka wapi.
 
Hayo unayotaka ni ya kikatiba kwa sasa si kipaumbele cha polisi.
 
Mbona huwa mnakimbilia kupost taarifa ambazo hazijitoshelezi ?

Polisi hawawezi kumkamata bila sababu au chanzo cha tukio hilo!

Vema muwe mnaeleza kilichojiri badala ya kuchokonoa mzinga wa nyuki na mkianza kuandamwa na nyuki mnakimbilia huku JamiiForums utadhani ndiko kwa baba mtoa dhamana.

Vijana wa chadema acheni kutafuta kick kwa kutengeneza matukio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…