Mwanachama wa CHADEMA, Kambaya amesema hajajenga nyumba ya ghorofa kwa fedha za ruzuku ya Vyama vya siasa

Mwanachama wa CHADEMA, Kambaya amesema hajajenga nyumba ya ghorofa kwa fedha za ruzuku ya Vyama vya siasa

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mwanachama wa Chadema ambaye kwa sasa ndio kiongozi wa kuimarisha Chama kanda ya Mwambao wa Bahari ya Hindi Tanga hadi Mtwara amesema ghorofa lake la Mbweni hajalijenga kwa Fedha za Ruzuku ya CUF.

Kambaya amesema Yeye ni mfanyabiashara ya magari hivyo Ujenzi wa Jumba hilo la kifahari ni kutokana na Mapato halali ya biashara zake.

Source: Mwanahalisi Digital
 
Ss Kwanini asikisaidie chama chake kikawa na ofisi nzuri!!!!
 
Mwanachama wa Chadema ambaye kwa sasa ndio kiongozi wa kuimarisha Chama kanda ya Mwambao wa Bahari ya Hindi Tanga hadi Mtwara amesema ghorofa lake la Mbweni hajalijenga kwa Fedha za Ruzuku ya CUF.

Kambaya amesema Yeye ni mfanyabiashara ya magari hivyo Ujenzi wa Jumba hilo la kifahari ni kutokana na Mapato halali ya biashara zake.

Source: Mwanahalisi Digital
Huyu alikuwa msaidizi mkuu wa Lipumba kwenye ile vita yao dhidi ya Maalim Seif, nadhani hapa ndio walilipwa fedha nyingi sana na Magufuli kwa kuivuruga CUF
 
Chama ni watu,na sii ofisi,kwani chama kinaweza kuwa na maofisi lakini kikawa chama mfu.Kama kileee[emoji23].
Mmmh, chama cha mfukoni na mafaili yako chooni kwa Katibu Mkuu Mnyika na laptop ya tundulissu. Kila kitu kiko hewani digital - watu hewa sera hewa.
 
Kuna kaukweli kidogo, CCM ina vyote maana imepora majengo, viwanja mpaka ubongo wa watu na kuwafanya kama misukule na mwisho imeiba mpaka uchaguzi!
Kama huwezi kuiba uchaguzi unafanya nini kwenye Siasa?
 
Back
Top Bottom