Mwanachama wa CHADEMA, Kambaya amesema hajajenga nyumba ya ghorofa kwa fedha za ruzuku ya Vyama vya siasa

Mwanachama wa CHADEMA, Kambaya amesema hajajenga nyumba ya ghorofa kwa fedha za ruzuku ya Vyama vya siasa

Chadema ilipasa kuwa mfano katika kuonesha maendeleo kwakuwa na ofisi zakisasa watazoweza kukaa na kupanga mikakati iliyonyooka sio gofu kama la kuvutia bangi... kwenye ukweli usemwe ukweli...
Huyo kambaya wamtizame anapenda migogoro uko kafu katibua asipewe tuu mavyeo bila kumtathmini vyema!
Kuwa na Upinzani imara ni dalili ya taifa lililoerevuka na kichocheo cha maendeleo kwa taifa. Majinga hayajui iyo.
Nb. Kwasasa kuhusu Urais tupo namama msipoteze hata nguvu nyie ubunge kwanza
 
Mmmh, chama cha mfukoni na mafaili yako chooni kwa Katibu Mkuu Mnyika na laptop ya tundulissu. Kila kitu kiko hewani digital - watu hewa sera hewa.
Hayo ndiyo maneno ya wanachukua chako mapema 🤔.Siku mkiukubali ukweli mtakuwa huru😂
 
Mwanachama wa Chadema ambaye kwa sasa ndio kiongozi wa kuimarisha Chama kanda ya Mwambao wa Bahari ya Hindi Tanga hadi Mtwara amesema ghorofa lake la Mbweni hajalijenga kwa Fedha za Ruzuku ya CUF.

Kambaya amesema Yeye ni mfanyabiashara ya magari hivyo Ujenzi wa Jumba hilo la kifahari ni kutokana na Mapato halali ya biashara zake.

Source: Mwanahalisi Digital
Hongera zake
 
usikute hata wewe unalala banda la uhani halafu unakuja kuandika huu ushubwada
Mimi siwezi kulalia banda la uhani ni punguani kama ww ndio unaweza lala stoo, kwa shemeji Yako au kwenye banda la mbuzi
 
Back
Top Bottom