johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
🤩😂😂Kambaya ana nyumba nzuri kuliko makao makuu ya Chadema
Chama ni watu,na sii ofisi,kwani chama kinaweza kuwa na maofisi lakini kikawa chama mfu.Kama kileee😂.Kambaya ana nyumba nzuri kuliko makao makuu ya Chadema
Hiyo ni roho ya kimaskini sana!Chama ni watu,na sii ofisi,kwani chama kinaweza kuwa na maofisi lakini kikawa chama mfu.Kama kileee😂.
Utajiri wa chama ni hazina yake ya watu na kuwepo mioyoni mwao watu na sii na sii vinginevyo,😂Hiyo ni roho ya kimaskini sana!
Basi CCM ina vyote!Utajiri wa chama ni hazina yake ya watu na kuwepo mioyoni mwao watu na sii na sii vinginevyo,😂
Huyu alikuwa msaidizi mkuu wa Lipumba kwenye ile vita yao dhidi ya Maalim Seif, nadhani hapa ndio walilipwa fedha nyingi sana na Magufuli kwa kuivuruga CUFMwanachama wa Chadema ambaye kwa sasa ndio kiongozi wa kuimarisha Chama kanda ya Mwambao wa Bahari ya Hindi Tanga hadi Mtwara amesema ghorofa lake la Mbweni hajalijenga kwa Fedha za Ruzuku ya CUF.
Kambaya amesema Yeye ni mfanyabiashara ya magari hivyo Ujenzi wa Jumba hilo la kifahari ni kutokana na Mapato halali ya biashara zake.
Source: Mwanahalisi Digital
Politics as businessKambaya ana nyumba nzuri kuliko makao makuu ya Chadema
Bwashee unaonaje ukibadili jina badala ya Retired uwe Retarded? Litaendana vizuri na michango yako hapa jukwaani.Unaandika ujinga ujinga kila.wakati, ushambenga
Duuu umemuua mwanaBwashee unaonaje ukibadili jina badala ya Retired uwe Retarded? Litaendana vizuri na michango yako hapa jukwaani.
Mmmh, chama cha mfukoni na mafaili yako chooni kwa Katibu Mkuu Mnyika na laptop ya tundulissu. Kila kitu kiko hewani digital - watu hewa sera hewa.Chama ni watu,na sii ofisi,kwani chama kinaweza kuwa na maofisi lakini kikawa chama mfu.Kama kileee[emoji23].
Chadema HQ Ufipa st inafanana na Gofu unaloishi hapo TangaUnaandika ujinga ujinga kila.wakati, ushambenga
usikute hata wewe unalala banda la uhani halafu unakuja kuandika huu ushubwadaSs Kwanini asikisaidie chama chake kikawa na ofisi nzuri!!!!
Kuna kaukweli kidogo, CCM ina vyote maana imepora majengo, viwanja mpaka ubongo wa watu na kuwafanya kama misukule na mwisho imeiba mpaka uchaguzi!Basi CCM ina vyote!
Kama huwezi kuiba uchaguzi unafanya nini kwenye Siasa?Kuna kaukweli kidogo, CCM ina vyote maana imepora majengo, viwanja mpaka ubongo wa watu na kuwafanya kama misukule na mwisho imeiba mpaka uchaguzi!