TANZIA Mwanachama wa JamiiForums - Jikeshupa amefariki dunia

Emma.

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2012
Posts
19,932
Reaction score
5,563
Tumepokea kwa masikito makubwa taarifa za kifo cha mwenzetu jikeshupa ambaye alikuwa mwanachama wa JF. Tunatoa Poleni nyingi kwa Familia yake pamoja na marafiki zake na ndugu na Jamaa ambao wameguswa na huu msiba.

jikeshupa amefariki asubuhi ya leo katika Hospital ya KCMC Mkoani Kilimanjaro alipokuwa anapata matibabu . Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwao Unga LTD Arusha. Mungu ampe pumziko la milele
===============

Updates
Mazishi yatafanyika siku ya Jumamosi nyumbani kwao Rombo Keni, ibada ya mazishi itaanza saa sita mchana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…