TANZIA Mwanachama wa JamiiForums - Jikeshupa amefariki dunia

TANZIA Mwanachama wa JamiiForums - Jikeshupa amefariki dunia

Tumepokea kwa masikito makubwa taarifa za kifo cha mwenzetu jikeshupa ambaye alikuwa mwanachama wa JF Tunatoa Poleni nyingi kwa Familia yake pamoja na marafiki zake na ndugu na Jamaa ambayo wameguswa na huu msiba. jikeshupa amefariki asubuhi ya leo katika Hospital ya Kcmc Mkoani Kilimanjaro alipokuwa anapata matibabu . Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwao Unga LTD Arusha. Mungu ampe pumziko la milele

Ni mmojawapo kati ya post zake hakuogopa kusema ukweli.
View attachment 2105741
[emoji24][emoji24] Mungu ailaze mahala pema peponi roho ya Jike Shupa
 
Back
Top Bottom