TANZIA Mwanachama wa JamiiForums - Jikeshupa amefariki dunia

TANZIA Mwanachama wa JamiiForums - Jikeshupa amefariki dunia

Sijui kama members wana backup yeyote nje ya hapa ambayo ingeweza kusaidia kuleta feedback kwa ukimya wa wadau

Mi nikifa mchekini mawenge atawapa utaratibu wa namna ya kulipata daftari la mchango
Sasa tutajuaje kama umekufa mkuu??
 
Tumepokea kwa masikito makubwa taarifa za kifo cha mwenzetu jikeshupa ambaye alikuwa mwanachama wa JF Tunatoa Poleni nyingi kwa Familia yake pamoja na marafiki zake na ndugu na Jamaa ambayo wameguswa na huu msiba. jikeshupa amefariki asubuhi ya leo katika Hospital ya Kcmc Mkoani Kilimanjaro alipokuwa anapata matibabu . Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwao Unga LTD Arusha. Mungu ampe pumziko la milele

Ni mmojawapo kati ya post zake hakuogopa kusema ukweli.
View attachment 2105741
Rest In Peace


Sent from my V2027 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom