TANZIA Mwanachama wa JamiiForums - Jikeshupa amefariki dunia

TANZIA Mwanachama wa JamiiForums - Jikeshupa amefariki dunia

Kwahiyo 2021 alikuwa na miaka 17, ghafla leo ana miaka 32?!
Miaka 17 ya kutumia dawa ndugu...

Kitambo huu ugonjwa ulikuwa na stigma sana familia zilikuwa zinaficha taarifa hata dawa wengine ilikuwa mbinde kuchukua... haiyumkini kwenye makuzi yake ya awali hata hakuwa akijua shida yake, hadi hapo baadae alipojielewa na kulichukua swala la kunywa dawa kama jambo lenye muendelezo (hapo ndio msingi wa hiyo miaka 17 ya kunywa dawa)
 
Back
Top Bottom