TANZIA Mwanachama wa JamiiForums - Jikeshupa amefariki dunia

Pumzika kwa amani, mwenyezi Mungu akupe rehema sake.

Poleni wanafamilia , ndugu na marafiki wote.

Amina.
 
Kumbe jf members wake wanakufaga
 
Kwani Marehemu Ni mkaka au mdada mbona sielewi Tena?
Kiingereza kiingereza kiingereza ndugu, kumbuka kilikuja kwa meli, kikubwa ujumbe umefika kwa Mungu, japo utafika ukiwa umechoka sana.
 
Kiingereza kiingereza kiingereza ndugu, kumbuka kilikuja kwa meli, kikubwa ujumbe umefika kwa Mungu, japo utafika ukiwa umechoka sana.
Kabisaaa nitafika naburutwa...wengine may her soul wengine may his soul Sasa nafanyaje mngindo wa watu mie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…