TANZIA Mwanachama wa JamiiForums - Jikeshupa amefariki dunia

TANZIA Mwanachama wa JamiiForums - Jikeshupa amefariki dunia

Mkuu kuna maisha baada ya behind the keyboard ya jf, watu tunafahamiana humu, wengine hufikia hadi kuoana. Je watashindwa kufahamu kama mwenzetu kapatwa na tatizo?.lazima kuna atakayekua na taarifa. Unless hufahamiani kabisa na watu humu.
Wakati tuliwahi mimi na wewe kutaka kuchumbiana. Distance ikawa kikwazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umepima sasa...au unajimwambafai tu hapa?

Kavu kila mtu anapenda tatizo ni wale bacteria nyoko sana wakiingia kwa mwili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nyie mnaofahamiana nje ya JF huwa mnawezaje kupotezea watu wanaojifaragua ufahari humu ndani ilhali mnawajua ni "tiamaji tiamaji" in real life.

Kwangu hii issue ni UCHURO.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa inahusu nn kumjua mtu, na yeye kujifaragua?
 
Pumzika kwa amani Jessy. Wote tu wapitaji duniani hapa😟.
kuifikia na Kuivuka miaka 30 kwa kijana wa sasa ni ngumu mno, Mungu atuongoze tu.View attachment 2105766
Kijana wa leo ana nafasi kubwa ya kufikia miaka 30, 40, 50, 60, 70 kuliko kijana wa 30 years ago.. Kuliko kijana wa 50 years ago.
Life expectancy imeongezeka duniani kote ndani ya miaka 50 iliyopita--

RIP jikeshupa
 
Back
Top Bottom