TANZIA Mwanachama wa JamiiForums - Jikeshupa amefariki dunia

TANZIA Mwanachama wa JamiiForums - Jikeshupa amefariki dunia

Poleni Sana mlioguswa na msiba huu,, apumzike kwa amani
 
Nyie mnaofahamiana nje ya JF huwa mnawezaje kupotezea watu wanaojifaragua ufahari humu ndani ilhali mnawajua ni "tiamaji tiamaji" in real life.

Kwangu hii issue ni UCHURO.
 
Back
Top Bottom