TANZIA Mwanachama wa JamiiForums - Jikeshupa amefariki dunia

TANZIA Mwanachama wa JamiiForums - Jikeshupa amefariki dunia

Lala salama Jikeshupa

Pole kwa familia na wote walioguswa na msiba huu
 
Tumepokea kwa masikito makubwa taarifa za kifo cha mwenzetu jikeshupa ambaye alikuwa mwanachama wa JF. Tunatoa Poleni nyingi kwa Familia yake pamoja na marafiki zake na ndugu na Jamaa ambao wameguswa na huu msiba.

jikeshupa amefariki asubuhi ya leo katika Hospital ya KCMC Mkoani Kilimanjaro alipokuwa anapata matibabu . Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwao Unga LTD Arusha. Mungu ampe pumziko la milele
===============

Updates
Mazishi yatafanyika siku ya Jumamosi nyumbani kwao Rombo Keni, ibada ya mazishi itaanza saa sita mchana.
Duu! Pole nyingi kwa ndugu , jamaa na marafiki wote wa arehemu!
Mwenyezi aipumzishe Roho yake pahala pema peponi! Amen!
 
Back
Top Bottom