TANZIA Mwanachama wa JamiiForums - Jikeshupa amefariki dunia

Tumepokea kwa masikito makubwa taarifa za kifo cha mwenzetu jikeshupa ambaye alikuwa mwanachama wa JF. Tunatoa Poleni nyingi kwa Familia yake pamoja na marafiki zake na ndugu na Jamaa ambao wameguswa na huu msiba.

jikeshupa amefariki asubuhi ya leo katika Hospital ya KCMC Mkoani Kilimanjaro alipokuwa anapata matibabu . Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwao Unga LTD Arusha. Mungu ampe pumziko la milele
===============

Updates
Mazishi yatafanyika siku ya Jumamosi nyumbani kwao Rombo Keni, ibada ya mazishi itaanza saa sita mchana.
Pole Sana kwa familia, Mwenyezi Mungu awape Faraja katika kipindi hiki kigumu.😢
 
Kuna haja ya watu wengi kujuana na kutojificha kwenye I'd fake hizi

RIP
 
Duh kumbe mnajuana kabisa humu , eeeh , maana wengine credentials zao anonyimous sasa napata tabu sana kujua mnapataje taarifa kwamba mtu ana jina la mti kawek avater ya kikaragosi, how akifa mnajua?
 
Mbona watu wanaonana humu mzee
Hadi wachumba,wake,waume washatengenezwa kupitia jf

Ova
 
Tumepokea kwa masikito makubwa taarifa za kifo cha mwenzetu jikeshupa ambaye alikuwa mwanachama wa JF. Tunatoa Poleni nyingi kwa Familia yake pamoja na marafiki zake na ndugu na Jamaa ambao wameguswa na huu msiba.

jikeshupa amefariki asubuhi ya leo katika Hospital ya KCMC Mkoani Kilimanjaro alipokuwa anapata matibabu . Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwao Unga LTD Arusha. Mungu ampe pumziko la milele
===============

Updates
Mazishi yatafanyika siku ya Jumamosi nyumbani kwao Rombo Keni, ibada ya mazishi itaanza saa sita mchana.
RIP in this situation sioni ubaya wa disclose her identity for reference.
 
Back
Top Bottom