Tumepokea kwa masikito makubwa taarifa za kifo cha mwenzetu
jikeshupa ambaye alikuwa mwanachama wa JF Tunatoa Poleni nyingi kwa Familia yake pamoja na marafiki zake na ndugu na Jamaa ambayo wameguswa na huu msiba.
jikeshupa amefariki asubuhi ya leo katika Hospital ya Kcmc Mkoani Kilimanjaro alipokuwa anapata matibabu . Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwao Unga LTD Arusha. Mungu ampe pumziko la milele
===============Updates
Mazishi yatafanyika siku ya Jumamosi nyumbani kwao rombo Keni ibada ya mazishi itaanza saa sita mchana .
View attachment 2106011