Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole Sana kwa familia, Mwenyezi Mungu awape Faraja katika kipindi hiki kigumu.😢Tumepokea kwa masikito makubwa taarifa za kifo cha mwenzetu jikeshupa ambaye alikuwa mwanachama wa JF. Tunatoa Poleni nyingi kwa Familia yake pamoja na marafiki zake na ndugu na Jamaa ambao wameguswa na huu msiba.
jikeshupa amefariki asubuhi ya leo katika Hospital ya KCMC Mkoani Kilimanjaro alipokuwa anapata matibabu . Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwao Unga LTD Arusha. Mungu ampe pumziko la milele
===============
Updates
Mazishi yatafanyika siku ya Jumamosi nyumbani kwao Rombo Keni, ibada ya mazishi itaanza saa sita mchana.
Ok nilifkiri ni lile jambazi lingineHuyu ni jikeshupa tu wa JF. Amen
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utajua hujui? Wahi clinic mapema uanze kubugia njugu. PoleeeehDahhhh....
Inauma sana haki....[emoji29][emoji26]
Mimi nitatoa ,one mistake one goal. NakujuaMi siku nikifa ndo basi tena sidhani kama Kuna mtu ataye toa taarifa humu
Mbona amweki hata vipicha ili tuomboleze wote wengine atumjuiSababu hili Jambo limetamalaki shek....
Taratibu shekhe aseehJikeshupa alikuwa anaugua ukimwi , hope ndo uliompumzisha....
Post in thread 'Natafuta marafiki walioathirika na UKIMWI (HIV Positive)' Natafuta marafiki walioathirika na UKIMWI (HIV Positive)
Aah waaapi huwezi kunifaham hata kidogo Kwa hilo nakataa kabisaa na kama kweli unanifahamu taja jina langu hapa nakupa ruhusaMimi nitatoa ,one mistake one goal. Nakujua
Duh,mbn unammbeleleza hivyoPls jibu pm.yangu bna pls nina shida na wewe niko jirani yako hapa
Mbona watu wanaonana humu mzeeDuh kumbe mnajuana kabisa humu , eeeh , maana wengine credentials zao anonyimous sasa napata tabu sana kujua mnapataje taarifa kwamba mtu ana jina la mti kawek avater ya kikaragosi, how akifa mnajua?
Hahaaaaaa.Tangulia wewe mkuu sina haraka.
Pole Sana kwako na mwenzetu ampumzike kwa amaniApumzike kwa amani mwali, naombeni mnipe pole...[emoji25]
Kaomba pole mpe pole inatosha, mengine mwachie mwenyewePole ya nn? Ulipita nae au? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
RIP in this situation sioni ubaya wa disclose her identity for reference.Tumepokea kwa masikito makubwa taarifa za kifo cha mwenzetu jikeshupa ambaye alikuwa mwanachama wa JF. Tunatoa Poleni nyingi kwa Familia yake pamoja na marafiki zake na ndugu na Jamaa ambao wameguswa na huu msiba.
jikeshupa amefariki asubuhi ya leo katika Hospital ya KCMC Mkoani Kilimanjaro alipokuwa anapata matibabu . Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwao Unga LTD Arusha. Mungu ampe pumziko la milele
===============
Updates
Mazishi yatafanyika siku ya Jumamosi nyumbani kwao Rombo Keni, ibada ya mazishi itaanza saa sita mchana.