TANZIA Mwanachama wa JamiiForums (kutoka JF Arusha Wing), Easymutant afariki dunia

R.I.P brother. Katika barabara ambazo ni mbaya Arusha ni hiki kipande kuanzia St constatine kuelekea monduli. Mwezi wa sita mwaka huu tulinusurika ajali kubwa nikiwa kwenye hiace basi la Mgamba linataka kuovertake darajani pale sheli karibu na shamba la kahawa burka.
 


Inna lillahi wa inna ilaihi rajiuun.
 
Rip bro,tunaweza kumtambua kwa majina halisi au hata picha kama passport?
 
Mkuu..kila LA kheri huko uendako,safiri salama na ufikie Makao uliyokuwa umejiandalia.Amina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…