Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Barabara ya njiro ndio konki inakula watu sanaR.I.P brother. Katika barabara ambazo ni mbaya Arusha ni hiki kipande kuanzia St constatine kuelekea monduli. Mwezi wa sita mwaka huu tulinusurika ajali kubwa nikiwa kwenye hiace basi la Mgamba linataka kuovertake darajani pale sheli karibu na shamba la kahawa burka.
Yupo member humu kafariki wiki mbili zimepita.. ... ...nasikitika sijui jina analotumia humu...ila yumo! Mazishi yake yalifanyika Buguruni hapo Dar!