TANZIA Mwanachama wa JamiiForums (kutoka JF Arusha Wing), Easymutant afariki dunia

TANZIA Mwanachama wa JamiiForums (kutoka JF Arusha Wing), Easymutant afariki dunia

R.I.P brother. Katika barabara ambazo ni mbaya Arusha ni hiki kipande kuanzia St constatine kuelekea monduli. Mwezi wa sita mwaka huu tulinusurika ajali kubwa nikiwa kwenye hiace basi la Mgamba linataka kuovertake darajani pale sheli karibu na shamba la kahawa burka.
Barabara ya njiro ndio konki inakula watu sana
 
Kujua kwamba tunakufa kunahuzunisha ila huo ndio ukweli polen wote mliofikwa na msiba hakuna namna ndio maisha yenyewe
 
Back
Top Bottom