BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 5,950
- 11,295
PrettyTunasikitika mnooooo........akiwa kama rafiki yetu wa karibu.......tunaumia sana kumpoteza.......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PrettyTunasikitika mnooooo........akiwa kama rafiki yetu wa karibu.......tunaumia sana kumpoteza.......
Pole.Black Womanoohh poleni
Raha ya milele umpe eh Bwana na Mwanga wa Milele umwangazie apumzike kwa amani. Amina
R.I.P brother. Katika barabara ambazo ni mbaya Arusha ni hiki kipande kuanzia St constatine kuelekea monduli. Mwezi wa sita mwaka huu tulinusurika ajali kubwa nikiwa kwenye hiace basi la Mgamba linataka kuovertake darajani pale sheli karibu na shamba la kahawa burka.WanaJF,
View attachment 1235230
Taarifa nilizozipata ni kwamba, mwenzetu, Easymutant amefariki dunia usiku wa kuamkia Jana kwa ajali ya gari iliyotokea maeneo ya Sabble Square karibu na uwanja wa ndege wa Kisongo. Msiba upo Olasiti Arusha na updates zaidi nitawaletea hapa.
Poleni sana JF Arusha Wing na Members wore wa JamiiForums kwa ujumla.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe. View attachment 1235020
Pole.Black Woman
WanaJF,

Rip bro,tunaweza kumtambua kwa majina halisi au hata picha kama passport?WanaJF,