TANZIA Mwanachama wa JamiiForums (kutoka JF Arusha Wing), Easymutant afariki dunia

TANZIA Mwanachama wa JamiiForums (kutoka JF Arusha Wing), Easymutant afariki dunia

Nitakujibu law msiba huu. Tunafahamiana na tumeanzisha group la WhatsApp na zaidi kufahaminiana kifamilia. Hata kama unatumia fake ID hutakosa hata mtu mmoja mnayefahamiana. Waliopo huku wapo sehemu tunazoishi
Rest in peace kaka , hivi najiuliza mtu anatumia fake ID halafu siku akifa members wengine wanajuaje? Samahani lakini
 
POLENI SANA WANA JF, FAMILIA YA MAREHEMU NA WOTE WANAOHUSIKA NA MSIBA HUU.
HAKIKA KILA NAFSI ITAONJA MAUTI; YEYE KATANGULIA... INAUMA! MAPENZI YA MUNGU YATIMIZWE. AMIIN
 
Pumzika kwa Amani Easymutant! Poleni ndugu,jamaa, marafiki na wana JF wote kwa ujumla.
 
Tupo kwenye mazishi hapa tayari ameshawekwa kwenye nyumba yake ya milele. Kifo kiboko ya mwanadamu. Apumzike kwa Amani.
Achana na kifo, ni mystery ya ajabu. Come to think of it, think of God, Satan...hadi unachanganyikiwa!!!

Poleni sana watu wa Arusha.
 
Back
Top Bottom