Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Duh!! Mwenyezi ampunguzie adhabu ya kaburi
Apumzike kwa amani.
oohh poleni
Raha ya milele umpe eh Bwana na Mwanga wa Milele umwangazie apumzike kwa amani. Amina
Raha ya milele umpe eeh bwana .... Na mwanga wa milele umwangazie ..... Apumzike kwa amani ..... Amina
Kifo hiki kimenitoa machozi sana ila kwa sababu maamuzi ya Mungu hayana kupinda itoshe kusema tangulia mbele ya haki.
Bwana Ametoa Bwana Ametwaa.
Kila msiba una majonzi, nahuenda sie tulio napumzi mpaka sasa tunajipa kiburi hata kushindwa kuitengeneza Amani na Pumziko la.milele ambalo Mungu angetupatia pindi ambapo tutarudi mavumbini.Mungu muumba wa mbigu na Dunia, mpe rafiki yangu pumziko la milele katika shamba la Bwana, Apumzike kwa amani baada ya mateso na taabu ya ulimwengu huu ambapo sisi ni wachafuzi kila kukicha Bwana wetu[emoji1317]
Mwenyezi Mungu atusaidie sisi ambao tupo hai hii leo, kuweza kuzitazama njia zetu palipopunguka tuparekebishe ili siku tukiacha Hii Dunia basi tuwe tumetengeneza mahali sahihi pa kupumzikia.
Ni hayo tu wakuu.!!