TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

Chama kimepoteza mtu muhimu,chama kimepoteza kiongozi mpole,mtulivu,asiyena papara,mwenye maono na muelekevu asiyetaka haraka!

Alipoambiwa cuf wanagombea akajitoa,alipoambiwa jimbo limetengwa kwa Chadema na kuombwa kugombea akakubali kwa moyo mmoja.


Hakika Mtoi,Ben saanane,na viongozi waandamizi HQ tutakosa hekima na mawazo yake!

WanaWaLushoto msikate tamaa kazeni moyo ushindi unakuja!


Nawaasa " punje ya haradani,lazima ife izikwe ioze,kisha itoe matunda mengi"
The grain of wheat,Mtoi amepata ajali akipambana kuhakikisha Lushoto mnakombolewa, Machozi yenu yawekeni kwa Madiwani wenu wa kata zote iwe sehemu ya kumuenzi!
Peopleereeeeeeezzzzzzzzz!
We have god we have the power!!!
 
Mhmn!! Kama ni kweli apumzike kwa amani,kama ni siasa basi CCM hawana utu hata chembe maana tumeyaona mauaji yameshaanza kutekelezwa Mara huko kwa Wapinzani!!

hii tabia ya kuwapa lawama wengine kwa kila tatizo linalotupata ni kama kansa flani ambayo in the long run inajenga hali ya kutokuwajibika na mwisho hua ni mbaya sana!! grow up we mshenzi
 
R.I.P kamanda

Jaman tuombeane hiki kipind ni kigumu sana
 
In.l.llah wain.illahjiun kamanda umetangulia doté waja WA allah lala salama mahal pema pepon amin
 
Haaaaaaaaaaaaaaa jamani! ndo naona sasa hivi jukwaa la photos! maskini! RIP Mtoi!
 
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un(إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعون&#1614😉


Allah amsamehe alipokosea
 
OMG. RIP kamanda Mtoi. Nashindwa kuamini taarifa hii. Wagombea msaidiwe kuendesha magari. Kampeni zinachosha sana,msijiamini. Ukichoka,ukapata joto la gari,na baridi ya usiku mnene,ni balaa. Huwa napata kausingizi katamu huku unaendelea na unachokifanya lakini hovyo hovyo.
 
Ikiwa kifo cha huyu bwana kuna mtu awaye yeyote anahusika nacho maana sarakasi za siasa tunazijua basi Mungu na asimame.

kwani huyu marehem alikua ni nani nchi hii kiasi cha kustahili hizo "sarakasi"??? au ndo utapata sifa ukionekana umelia sana msibani? acha ushambenga wee uharo
 
Inna lillahi wainna ilaihiy rajiun. Nimeshtushwa sana na kifo hiki.

Hakina kifo chafaa kuwa muaidha tosha kwetu.

Poleni wafiwa wote, familia yake,wana chadema, wana jf na watanzania wote.
 
Back
Top Bottom