Yethero Mgale
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 525
- 228
Pumzika kwa Amani Mtoi, tutakukumbuka kwa mchango wako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
R.I.P Kamanda. Umeacha pengo kubwa sana. Ulikuwa unatuwakilisha vema Waislam ndani ya chama chako
Mhmn!! Kama ni kweli apumzike kwa amani,kama ni siasa basi CCM hawana utu hata chembe maana tumeyaona mauaji yameshaanza kutekelezwa Mara huko kwa Wapinzani!!
Mtume Mwamed ndo nani?Mkuu Ally Kanah habari za siku nyingi? Nafuatilia comment zako hapa.....angalia isije ikawa unafanya unafiq kwenye jambo kama hili. Mtume Mwamed amekemea sana Unafiq.
Mhmn!! Kama ni kweli apumzike kwa amani,kama ni siasa basi CCM hawana utu hata chembe maana tumeyaona mauaji yameshaanza kutekelezwa Mara huko kwa Wapinzani!!
Kwenye facebook niliona likes kuhusu kifo cha mtanzania mwenzetu, sikuweza kuelewa walimaanisha nini haswa. RIP
Ikiwa kifo cha huyu bwana kuna mtu awaye yeyote anahusika nacho maana sarakasi za siasa tunazijua basi Mungu na asimame.
wewe ni mpumbavu sana...