Chama kimepoteza mtu muhimu,chama kimepoteza kiongozi mpole,mtulivu,asiyena papara,mwenye maono na muelekevu asiyetaka haraka!
Alipoambiwa cuf wanagombea akajitoa,alipoambiwa jimbo limetengwa kwa Chadema na kuombwa kugombea akakubali kwa moyo mmoja.
Hakika Mtoi,Ben saanane,na viongozi waandamizi HQ tutakosa hekima na mawazo yake!
WanaWaLushoto msikate tamaa kazeni moyo ushindi unakuja!
Nawaasa " punje ya haradani,lazima ife izikwe ioze,kisha itoe matunda mengi"
The grain of wheat,Mtoi amepata ajali akipambana kuhakikisha Lushoto mnakombolewa, Machozi yenu yawekeni kwa Madiwani wenu wa kata zote iwe sehemu ya kumuenzi!
Peopleereeeeeeezzzzzzzzz!
We have god we have the power!!!