TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

RIP Kamanda Mtoi. Ulikuwa mpambanaji wa kweli, asiyechoka wala kukubali kurubuniwa. Wana Lushoto wamepoteza tunu, UKAWA na Chadema mmempoteza kamanda.

Tiba
 
kwani huyu marehem alikua ni nani nchi hii kiasi cha kustahili hizo "sarakasi"??? au ndo utapata sifa ukionekana umelia sana msibani? acha ushambenga wee uharo
ok kumbe imesha fahamika wewe ni mtu wa aina gani kupitia comment zako, mwenyezi mungu akujaze hekma lau hata theluth mbili,
 

Alikua peke yake tu ndani ya Gari?
 
Mungu amlaze mahala pema peponi mpiganaji wetu. Amen
 
kwani huyu marehem alikua ni nani nchi hii kiasi cha kustahili hizo "sarakasi"??? au ndo utapata sifa ukionekana umelia sana msibani? acha ushambenga wee uharo

hii tabia ya kuwapa lawama wengine kwa kila tatizo linalotupata ni kama kansa flani ambayo in the long run inajenga hali ya kutokuwajibika na mwisho hua ni mbaya sana!! grow up we mshenzi

wewe ni mpumbavu sana...

Mbona upanic sana!
 
Mungu wangu, dah! Rip KANANDA japo umetuacha kipindi kigumu, nauliza inakuwaje sass kwenye ubunge
 

Nimejiuliza maswali mengi bila majibu Mungu anisamehe... Ni vzr uchunguzi ufanyike vzr zaidi..
Ina maana alikuwa mwenyewe kwenye gari! Na hakuna aliyeshuhudia ajali!!
 
Mungu ailaze roho ya marehemu mahari pema peponi!Apumzike kwa Amani,Amina.
 
R.I.P Mohamed Mtoi,Umetuonesha njia ya ukombozi,Umepamban,umetuongoza,imani ya ukombozi umeilinda,Umekuwa faraja ya wapumbavu na malofa lakini Mungu amekupenda zaidi.

Tunakuombea Mungu akupokee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…