TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali



....innallillah, wa inna illah rajioun!
 
Sote ni wa Allah na sote tutarejea kwake, tunaomba Allah akusamehe madhambi yote uliyotanguliza nasi atujaalie mwisho mwema.
 
poleni wana lushoto kwa kupotelewa na kamanda mohamed. Tumempoteza mtu muhimu sana.


na jimbo la lushoto limepoteza mtu muhimu sana.
 
Inasikitisha sana. Aisee. Pumzika kwa amani Kamanda Mtoi. Mungu awatie nguvu ndugu, jamaa na marafiki katika kipindi hiki cha majonzi.
 
Kamanda hauko nasi tena ila kazi yako ndani ya chama itakumbukwa daima. RIP mohammed.
 
So sad... R.I.P Mohamed Mtoi..pigo kubwa kwa Chadema
 
huyu alikuwa rafiki yangu sana facebook mungu awape nguvu wanafamilia katika kipindi hiki
 
Nimejiuliza maswali mengi bila majibu Mungu anisamehe... Ni vzr uchunguzi ufanyike vzr zaidi..
Ina maana alikuwa mwenyewe kwenye gari! Na hakuna aliyeshuhudia ajali!!

Yawezekana kuna kamchezo hapo Mtoi alikua tishio sana kwenye hlo jimbo kwani wananchi wengi walikua wanamuhitaji sana kwa maendeleo ya jimbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…