R.I.P Kamanda. Umeacha pengo kubwa sana. Ulikuwa unatuwakilisha vema Waislam ndani ya chama chako
taratibu zinaruhusu kuweka kamanda mwingineR.I.P....swali langu je ukawa itasimamisha mgombea mwingine au Jimbo limeshachukuliwa Na CCM kiulain.
MUNGU akubariki sana ndugu yangu wewe utakayeishi milele
Sasa hapo dini inahusikaje tena,
Ndiyo Chagueni Mwingine Haraka Haraka Kwani Muda Unaenda Na Hata Hao NEC Kwa Sasa Wapo Busy Na Sidhani Kama Watakuwa Na Muda Wa Kuwasikiliza Labda Tu Mjipange Kwa Chaguzi Ijayo Ya Mwaka 2020 Na Hapo Pia Kama UKAWA Na CHADEMA Zitakuwepo Kwani Nimepata Taarifa Kuwa Baada Tu Ya Uchaguzi Mkuu Kama UKAWA Mtashindwa Basi Umoja Wenu Huo Wa KINAFIKI Utavunjika Rasmi. Ila Sisi CCM Kama Kawaida Ni Mbele Kwa Mbele.
Khaa!! Ni mawazo yake. Kwani ajali haiwezi kupangwa? Where is Joseph Ludovick ?Kuwa na staha na ustaarabu na uache unazi kwenye matukio mazito kama haya.
Taarifa za hivi punde ni kuwa kamanda Mohamedi Mtoi amepata ajali na kufariki dunia
WAMETOKA KWENYE MKUTANO WA KAMPENI TARAFA YA MLOLA.
KAMANDA MTOI AKAWAPELEKA WENZAKE MPAKA LUSHOTO MJINI KISHA AKAONDOKA KUELEKEA NYUMBANI KWAKE NDIO NJIANI GARI IKAPATA AJALI NA NDIPO KAMANDA MTOI AKAFARIKI DUNIA.
Maelezo haya yamethibitishwa na katibu wa chama wilaya Lushoto Kamanda Dulla.
========
UPDATES: