Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitoe pole za dhati kwa familia ya marehemu Mtoi. Ni msiba mzito sana na binafsi umenigusa mno; kwani Kamanda Mtoi alikuwa mdau mahiri katika jukwaa hili na pia katika harakati za mageuzi na ukombozi wa nchi hii.
Poleni sana ndugu, jamaa na marafiki. R.I.P. Kamanda Mtoi!
Nakuunga mkono kamanda pamoja tunawezaKm ana familia naombeni watanzia tumkumbuke kwa kuhakikisha familia yake inaish vizuri,tumepoteza makamanda wengi sana,chadema simamieni hili