TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

Kamanda tutakuenzi kwa kushinda uchaguzi wa ubunge na madiwani katika jimbo lako là uchaguzi. Peoplessss powerrrrr Aluta Continuaààaaaaah
 
R.I.P Mohamed Mtoi. Poleni Wapenda Mabadiliko, Poleni Wapenzi Na Wanachadema Wote.
 
Pole sana kwa kufiwa wana chadema.
ImageUploadedByJamiiForums1442163654.664685.jpg

Huku mkiwa munaomboleza cheking kazi ya viwanjana wa kibongo
 
Pumzika kwa amani Mohamed Mtoi. Sikuwahi kukutana naye lkn mchango wake ktk JF ulinikutanisha naye na nikaelimika kwa mambo mengi.
 
Nitoe pole za dhati kwa familia ya marehemu Mtoi. Ni msiba mzito sana na binafsi umenigusa mno; kwani Kamanda Mtoi alikuwa mdau mahiri katika jukwaa hili na pia katika harakati za mageuzi na ukombozi wa nchi hii.

Poleni sana ndugu, jamaa na marafiki. R.I.P. Kamanda Mtoi!
 
Ni kweli kabisa mkuu,hata mimi nimeguswa mno na kifo cha Kamanda Mtoi,sote tu njia moja,cha msingi ni kumuenzi kwa kupigania kwa dhati kile alichokiamini!
 
Utaratibu wa kutoa rambirambi kwa familia unakuwaje???
 
Km ana familia naombeni watanzia tumkumbuke kwa kuhakikisha familia yake inaish vizuri,tumepoteza makamanda wengi sana,chadema simamieni hili
Nakuunga mkono kamanda pamoja tunaweza
 
Innalillahi wainnaillayhi rajiun. Allah SWT awafanyie wepesi wrote walioumizwa na msiba huu. Na sote tumwombee kwa Allah SWTamsamehe madhambi take mwenzetu alotangulia mbele za haqi.
Kisha kusema hayo naomba kujuzwa mazingira ya ajali hiyo yalikuwaje? Taarifa ya polisi inasemaje? Vipi kuhusu mashuhuda wanasemaje? Alikuwa na nani kwenye gari? Hivyo.
 
Back
Top Bottom