TANZIA Mwanachama wa JF, Ta Muganyizi amefariki dunia


Apumzike Kwa Amani

Bwana Ametoa, Bwana Ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe Amen
 
R.I.P Ta Muganyizi. Poleni sana ndg, jamaa na marafiki wote.
 
Poleni sana wafiwa Mwenyezi Mungu awapiganie kipindi hiki kigumu kwenu. Otabalege Ta Muganyizi !!
 
Poleni sana wana familia na watu wa karibu wa marehemu. Mungu aiweke roho yake pema peponi.
 
Dah r.i.p muganyizi...hivi Ni kweli ulikuwa hujui kiswahili au ndo majigambo tu ya kihaya?..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…