Mwanachama wa Yanga Mwigulu Nchema amrudisha Kocha Pluijm

ukisikia wivu wa kike ndio huu sasa
 
Sasa we mwanaume mzima unashtaki panya road kwa mwanaume mwenzio,mnafanyaga watu wa dar tuonekane wa hovyo sana,kesho ufungashe urudi shambani kwenu huko,umekuja mjini umekua mbea sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] napita tuu
 
We km mwanamke aloachwa,mi nilidhani anashughulikia matatizo ya Man u ya uingeleza?
 
Hilo nalo ni suala la kudumisha amani ndani ya club ya Yanga ambao ina washabiki wake hapa nchini.
 
UMESAHAU ASKARI WA UHAMIAJI POLISI NA MAGEZERA WALIOMALIZA JUZI WANALIA KUPIGA KAZI MIEZI MINNE BILA MSHAHARA YEYE ANAKULA BATA TU
 
Sasa we mwanaume mzima unashtaki panya road kwa mwanaume mwenzio,mnafanyaga watu wa dar tuonekane wa hovyo sana,kesho ufungashe urudi shambani kwenu huko,umekuja mjini umekua mbea sana.
Shambani hawez huyo ataliwa mapema tu.Mafisiwatu mengi mno huku bora na panya road.
 
Huyu mzungu naye si angesepa tu!,watu tujipigie tutakavyo,daah ameniudhi kweli.
 

Punguzeni unaa
 

Wanaume wa Dar bwana hao Panya road umri wao ni chini 20yrs mnawaogopa, watakuja wapigia hata wake zenu ndani nawe unawaangalia tu.
 
Nadhani ndio muda wa manji kujua lile swali alilokuwa anajiuliza nani yupo nyuma ya Mzee akilimali
 
Kapewa hio wizara baada ya kuonekana kafanya kitendo kizuri kule Arusha. Si mnakumbuka lile bomu lake huyu jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…