Wonderful
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 7,347
- 5,986
Ni mwanacha wa "WANANCHI"🙁Unajisikiaje sasa?!Mwigulu yeye kama nani kwenye hilo swala?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mwanacha wa "WANANCHI"🙁Unajisikiaje sasa?!Mwigulu yeye kama nani kwenye hilo swala?
ukisikia wivu wa kike ndio huu sasaNimesoma kwenye mitandao ya kijamii taarifa za Waziri wa Mambo ya Ndani kuingilia kati na kusuluhisha mgogoro wa mwajiri (Yanga) na mwajiriwa wake kocha Pluin na kuweza kuuatutua mara moja.
Taarifa zinasema Waziri alitumia siku mbili kuzungumza na pande husika kupata suluhu.
Jambo la kusikitisha hapo ni kwamba Waziri ameacha majukumu yake kwa siku mbili na kushughulkia mgogoro wa mwajiri na mwajiriwa ambao ungeweza kupelekwa Tume ya usuluhishi na uamuzi. Huku mitaani Panya Road na Majambaz wakitamalaki na migogoro ya wakulima na wafugaji ikiendelea.
Hii ndio dhana ya kazi tu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] napita tuuSasa we mwanaume mzima unashtaki panya road kwa mwanaume mwenzio,mnafanyaga watu wa dar tuonekane wa hovyo sana,kesho ufungashe urudi shambani kwenu huko,umekuja mjini umekua mbea sana.
We km mwanamke aloachwa,mi nilidhani anashughulikia matatizo ya Man u ya uingeleza?Nimesoma kwenye mitandao ya kijamii taarifa za Waziri wa Mambo ya Ndani kuingilia kati na kusuluhisha mgogoro wa mwajiri (Yanga) na mwajiriwa wake kocha Pluin na kuweza kuuatutua mara moja.
Taarifa zinasema Waziri alitumia siku mbili kuzungumza na pande husika kupata suluhu.
Jambo la kusikitisha hapo ni kwamba Waziri ameacha majukumu yake kwa siku mbili na kushughulkia mgogoro wa mwajiri na mwajiriwa ambao ungeweza kupelekwa Tume ya usuluhishi na uamuzi. Huku mitaani Panya Road na Majambaz wakitamalaki na migogoro ya wakulima na wafugaji ikiendelea.
Hii ndio dhana ya kazi tu?
Hilo nalo ni suala la kudumisha amani ndani ya club ya Yanga ambao ina washabiki wake hapa nchini.Nimesoma kwenye mitandao ya kijamii taarifa za Waziri wa Mambo ya Ndani kuingilia kati na kusuluhisha mgogoro wa mwajiri (Yanga) na mwajiriwa wake kocha Pluin na kuweza kuuatutua mara moja.
Taarifa zinasema Waziri alitumia siku mbili kuzungumza na pande husika kupata suluhu.
Jambo la kusikitisha hapo ni kwamba Waziri ameacha majukumu yake kwa siku mbili na kushughulkia mgogoro wa mwajiri na mwajiriwa ambao ungeweza kupelekwa Tume ya usuluhishi na uamuzi. Huku mitaani Panya Road na Majambaz wakitamalaki na migogoro ya wakulima na wafugaji ikiendelea.
Hii ndio dhana ya kazi tu?
UMESAHAU ASKARI WA UHAMIAJI POLISI NA MAGEZERA WALIOMALIZA JUZI WANALIA KUPIGA KAZI MIEZI MINNE BILA MSHAHARA YEYE ANAKULA BATA TUNimesoma kwenye mitandao ya kijamii taarifa za Waziri wa Mambo ya Ndani kuingilia kati na kusuluhisha mgogoro wa mwajiri (Yanga) na mwajiriwa wake kocha Pluin na kuweza kuuatutua mara moja.
Taarifa zinasema Waziri alitumia siku mbili kuzungumza na pande husika kupata suluhu.
Jambo la kusikitisha hapo ni kwamba Waziri ameacha majukumu yake kwa siku mbili na kushughulkia mgogoro wa mwajiri na mwajiriwa ambao ungeweza kupelekwa Tume ya usuluhishi na uamuzi. Huku mitaani Panya Road na Majambaz wakitamalaki na migogoro ya wakulima na wafugaji ikiendelea.
Hii ndio dhana ya kazi tu?
Shambani hawez huyo ataliwa mapema tu.Mafisiwatu mengi mno huku bora na panya road.Sasa we mwanaume mzima unashtaki panya road kwa mwanaume mwenzio,mnafanyaga watu wa dar tuonekane wa hovyo sana,kesho ufungashe urudi shambani kwenu huko,umekuja mjini umekua mbea sana.
Nimesoma kwenye mitandao ya kijamii taarifa za Waziri wa Mambo ya Ndani kuingilia kati na kusuluhisha mgogoro wa mwajiri (Yanga) na mwajiriwa wake kocha Pluin na kuweza kuuatutua mara moja.
Taarifa zinasema Waziri alitumia siku mbili kuzungumza na pande husika kupata suluhu.
Jambo la kusikitisha hapo ni kwamba Waziri ameacha majukumu yake kwa siku mbili na kushughulkia mgogoro wa mwajiri na mwajiriwa ambao ungeweza kupelekwa Tume ya usuluhishi na uamuzi. Huku mitaani Panya Road na Majambaz wakitamalaki na migogoro ya wakulima na wafugaji ikiendelea.
Hii ndio dhana ya kazi tu?
Nimesoma kwenye mitandao ya kijamii taarifa za Waziri wa Mambo ya Ndani kuingilia kati na kusuluhisha mgogoro wa mwajiri (Yanga) na mwajiriwa wake kocha Pluin na kuweza kuuatutua mara moja.
Taarifa zinasema Waziri alitumia siku mbili kuzungumza na pande husika kupata suluhu.
Jambo la kusikitisha hapo ni kwamba Waziri ameacha majukumu yake kwa siku mbili na kushughulkia mgogoro wa mwajiri na mwajiriwa ambao ungeweza kupelekwa Tume ya usuluhishi na uamuzi. Huku mitaani Panya Road na Majambaz wakitamalaki na migogoro ya wakulima na wafugaji ikiendelea.
Hii ndio dhana ya kazi tu?
Yaani inashangaza mno yeye kafanya kwa niaba ya serikali au yeye kama yeye..!?Mwigulu yeye kama nani kwenye hilo swala?
Mpe Elimu huyo KibenderaMbowe nae anashabikia yanga je bado ccm.
siku nyingine tumia akili Ku comment