John Thomas
Member
- Oct 9, 2016
- 8
- 1
Si akawe mwenyekitiAna mapenzi na yanga
OVA
Hongera kwa kuanzisha uzi. Jipigie makofi.
Acha POVU...nani kakwambia mtu akishughulikia jambo moja huwa anaacha mengine?! Kama huo ndio mtindo wako wa maisha tambua kwamba una ubongo dhaifu na kwamba wapo wenzako wana vichwa vya kazi....mambo mengi kwa wakati mmoja na yote yanakwenda.TULIA WATU WAFANYE KAZI.Nimesoma kwenye mitandao ya kijamii taarifa za Waziri wa Mambo ya Ndani kuingilia kati na kusuluhisha mgogoro wa mwajiri (Yanga) na mwajiriwa wake kocha Pluin na kuweza kuuatutua mara moja.
Taarifa zinasema Waziri alitumia siku mbili kuzungumza na pande husika kupata suluhu.
Jambo la kusikitisha hapo ni kwamba Waziri ameacha majukumu yake kwa siku mbili na kushughulkia mgogoro wa mwajiri na mwajiriwa ambao ungeweza kupelekwa Tume ya usuluhishi na uamuzi. Huku mitaani Panya Road na Majambaz wakitamalaki na migogoro ya wakulima na wafugaji ikiendelea.
Hii ndio dhana ya kazi tu?
hichi Kiinglishi kwenye hii barua vipi wadau!
dah!!
Fikra zako mbovu tu. Kuna maisha nje ya siasa.Kweli yanga ni ya CCM
kwanini afanye hivyo kwani hakuna waziri wa hicho kitengo?mizigo mizigo na ni mizigo kweli.wabongo bwana kwa hiyo shida wapi ukiwa waziri huna Ruhusa ya kusaidia matatizo ya Jamii kwa hilo yupo sahihi asemwe mengine aisee..
Huyu kocha nyaraka zake zichunguzwe mapema.. Waziri wa mambo ya ndani kuna kitu kamtisha...Au anaishi nchini kinyemela?