Mwanachama wa Yanga Mwigulu Nchema amrudisha Kocha Pluijm

Mwanachama wa Yanga Mwigulu Nchema amrudisha Kocha Pluijm

[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100] [emoji100] [emoji100] Sinachakusema mimi
 
Watu wanachinjwa lushoto waziri husika amekimbia ofisi kahamia ofisi ya yanga.
 
Nimesoma kwenye mitandao ya kijamii taarifa za Waziri wa Mambo ya Ndani kuingilia kati na kusuluhisha mgogoro wa mwajiri (Yanga) na mwajiriwa wake kocha Pluin na kuweza kuuatutua mara moja.
Taarifa zinasema Waziri alitumia siku mbili kuzungumza na pande husika kupata suluhu.

Jambo la kusikitisha hapo ni kwamba Waziri ameacha majukumu yake kwa siku mbili na kushughulkia mgogoro wa mwajiri na mwajiriwa ambao ungeweza kupelekwa Tume ya usuluhishi na uamuzi. Huku mitaani Panya Road na Majambaz wakitamalaki na migogoro ya wakulima na wafugaji ikiendelea.

Hii ndio dhana ya kazi tu?
Acha POVU...nani kakwambia mtu akishughulikia jambo moja huwa anaacha mengine?! Kama huo ndio mtindo wako wa maisha tambua kwamba una ubongo dhaifu na kwamba wapo wenzako wana vichwa vya kazi....mambo mengi kwa wakati mmoja na yote yanakwenda.TULIA WATU WAFANYE KAZI.
 
Kuna mdau kauliza ule uhakiki wa majina feki na vyeti utaisha lini?
 
wabongo bwana kwa hiyo shida wapi ukiwa waziri huna Ruhusa ya kusaidia matatizo ya Jamii kwa hilo yupo sahihi asemwe mengine aisee..
 
wabongo bwana kwa hiyo shida wapi ukiwa waziri huna Ruhusa ya kusaidia matatizo ya Jamii kwa hilo yupo sahihi asemwe mengine aisee..
kwanini afanye hivyo kwani hakuna waziri wa hicho kitengo?mizigo mizigo na ni mizigo kweli.


swissme
 
Huyu kocha nyaraka zake zichunguzwe mapema.. Waziri wa mambo ya ndani kuna kitu kamtisha...Au anaishi nchini kinyemela?

Kama kuna mtu ametishwa katika sakata hili siyo kocha bali kuna mtu mwingine ambaye ametishwa na anayefanya maamuzi peke yake as if YANGA haina watu waelewa... Huu siyo wakati mzuri wa kuleta migogoro isiyo na kichwa wala miguu...YANGA ina wapenzi au mashabiki zaidi ya milioni 20 sasa mtu anafanya maamuzi ya ajabu kutaka kuleta mgogoro katika jamii, hii haikubaliki....
 
Back
Top Bottom