Nini?Huyo dada anafaa kuwa mke
Naunga mkono hoja tena mke mwaminifu kabisaHuyo dada anafaa kuwa mke
Wanawake wanaovuta bangi wanajua Sana kulombana, uumkute yule msafi Afu pisi kali aisee utamwaga hadi dhambi.Huyo dada anafaa kuwa mke
Usishangae amesema akiwa km mwakilishi wa kwenye kikao cha WanaumeNini?
Huyu lazima aje kuwa tajiri , wanawake wa hivi walindwe kwa wivu mkubwaNaunga mkono hoja tena mke mwaminifu kabisa
Pusha mwaminifu wamembananisha pabaya naona wakora alikataa kuwapa mgao wao wakaona subiri kwanza wamchomee kibandaMwanamke nangai wamemchoma daah
Sema zile bangi za kuvuta domo linakua jeusi na macho ya kijinga cha moto hapanaWanawake wanaovuta bangi wanajua Sana kulombana, uumkute yule msafi Afu pisi kali aisee utamwaga hadi dhambi.
Mtafutaji hachoki huyo anapambana kila angle hata kwa dili haramuHuyu lazima aje kuwa tajiri , wanawake wa hivi walindwe kwa wivu mkubwa
Kaa kwa kutulia mremboNini?
Hii kitu na mirungi ipo pesa tu , na plan za kuwa escoba wa hii kitu bwashee 🤔Mtafutaji hachoki huyo anapambana kila angle hata kwa dili haramu
Inaweza kuwa hata marafiki zake wa karibu si unawajua wanawakePusha mwaminifu wamembananisha pabaya naona wakora alikataa kuwapa mgao wao wakaona subiri kwanza wamchomee kibanda
Mbona nyie nao hamueleweki! basi nielekezeni hayo mashamba ya bangi arrghhUsishangae amesema akiwa km mwakilishi wa kwenye kikao cha Wanaume
Wanawake tumekuwaje?Inaweza kuwa hata marafiki zake wa karibu si unawajua wanawake