Harmful
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 5,985
- 21,212
Mwenye Uzi amekuja kuomba msaada huku inaonesha kule msaada hamna acha nikafukue nyuzi za zamani 😅Kwenye uzi wa chumvi ya mawe😂
Mwenye Uzi amekuja kuomba msaada huku inaonesha kule msaada hamna acha nikafukue nyuzi za zamani 😅Kwenye uzi wa chumvi ya mawe😂
Huyu jamaa alipo fikia ataoga mpaka na mapupu asipo kuwa makiniDuhh una shida gani ingine tena mkuu! Itabidi uoge na muosha fedha sasa🙄
Taratiibu atakutana na watoa misaada muache siku haijaisha😆😆Mwenye Uzi amekuja kuomba msaada huku inaonesha kule msaada hamna acha nikafukue nyuzi za zamani 😅
Mapupu hayahaya au kuna mengine yaliyosagwa😆Huyu jamaa alipo fikia ataoga mpaka na mapupu asipo kuwa makini
Daah ila mwamba anaonekana anashida kweli subir Akileta mrejesho miaka mia ijayo 😖Taratiibu atakutana na watoa misaada muache siku haijaisha😆😆
We mshauri aoge maji ya betri
Mi ntamshauri aoge maji ya maharage..
Shida kilo saba! Haifiki mia bana.. week mbili tu anakaa sawaDaah ila mwamba anaonekana anashida kweli subir Akileta mrejesho miaka mia ijayo 😖
Kuna vipengele unavigusia hapa mpaka nahisi una kilinge mama mchungaji 😅Shida kilo saba! Haifiki mia bana.. week mbili tu anakaa sawa
Hahaha wakenya na watu wa kaskazini tofauti yao ni ndogo sanaWakenya na madawa ya kulevya
Wakenya na kazi za nje(nchi za nje)
Wakenya ni watu jasir sijapata ona wako kama wanigeria
Kwenye nchi yangu....................🤪
Maisha hayana formula kijana😆 mi ni muajiriwa kwa mzee mshana na ni muimba praise kanisani! Nikiacha kazi nitakula wapi🙄Kuna vipengele unavigusia hapa mpaka nahisi una kilinge mama mchungaji 😅
Vip kwan
Wakenya na vizee vya kizungu😁Wakenya na madawa ya kulevya
Wakenya na kazi za nje(nchi za nje)
Wakenya ni watu jasir sijapata ona wako kama wanigeria
Kwenye nchi yangu....................🤪
Watu wakaskazini mnatuonaje💪Hahaha wakenye ana watu wa kaskazini tofauti yao ni ndogo sana
Muhimu unapanda ndege kila usiku Kwahiyo ni kuenjoy tu lifeMaisha hayana formula kijana😆 mi ni muajiriwa kwa mzee mshana na ni muimba praise kanisani! Nikiacha kazi nitakula wapi🙄
Wanapenda kutoboa kimaisha Kwa haraka ndo maana wanacheza na fursaWakenya na vizee vya kizungu😁
Si bado hatujafikia hizo level mkuu🙆🏽♀️Muhimu unapanda ndege kila usiku Kwahiyo ni kuenjoy tu life
Aisee wanayaweza!Wanapenda kutoboa kimaisha Kwa haraka ndo maana wanacheza na fursa
Sisi Sasa............🙄
Level zenu za chumvi au sioSi bado hatujafikia hizo level mkuu🙆🏽♀️
Baharini tu🌊Level zenu za chumvi au sio
Watu wa baharini nyinyi au ziwani 😅
tofauti yao wakikuyu wanaweza kukuibia kama kikundi wakaenda gawana, ila watu wakaskazini wanaweza kukuibia kama kikundi , ila mmoja akapiga hesabu za kuwageuka mwenzake hata kwa kuwapiga shoka la kichwa.Watu wakaskazini mnatuonaje💪
😂😂
Tofaut Yao ni ipi?