Harmful
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 5,985
- 21,212
Unajua sadali kiume anaweza kulindwa zaidi kwa kuwa kuna kundi kubwa la wateja wake wanaotoka kwenye jinsia yakeWanawake tumekuwaje?
Tukija kwa sadali wa kike watu wa jinsia yake wengi sio wateja wake kwa uhalisia uliopo kwahiyo anapata kundi kubwa la wanaompinga kuliko wasiompinga